Mar 2, 2013

MECHI KALI KATI YA: PASSION FC NA MAGOHE VETERAN ...

Wachezaji wa Passion FM


TIMU YA PASSION FM ITAKUWA NA MECHI KALI SIKU YA JUMAMOSI IJAYO YA TAREHE 9 MACHI, 
ITACHEZA NA TIMU YA MAJOHE VETELAN UWANJA WA MAJOHE SHULE YA MSINGI.
KUANZIA SAA KUMI JIONI.

USIKOSE KUWAONA WACHEZAJI NA WATANGAZAJI MAHILI WA PASSION FM:

DJ FAX
WARDA
NYAWANA
MALYANGO

NA WENGINE KIBAO, 
SI YA KUKOSA!!


Anuary Sanga kushoto, Robert Kiatu kati na Ben Mwanantala

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...