Jun 24, 2013

Baadhi ya Watangazaji wa Passion FM.

Annuary Sanga na Anneth Nyoni wakiwa katika Pose ndani ya Studio za Passion FM.

Dj Fax na Hancy Vipaji wakipagawishe katika kipindi cha Bongo kwetu ndani ya Passion FM.

Adela Kavishe, Kutana naye katika kipindi cha The BIG Show.

Ben Mwanantala "Mwana wa Wana akiwa na Juma Idd, unakutana nao katika kipindi cha Michezo na Passion FM.

Warda Chande mtoto wa pwani,,mtangazaji wa kipindi cha Taarabu Passion FM.


Huyu ni Martha Lucas Samwangwa, unakuwa naye katika kipindi cha Gospel kila jumapili na vipindi mbalimbali ndani ya Passion FM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...