May 28, 2013

Adam Mchomvu apost picha za uchi za msanii Lady JD, watu wamshambulia...

Alichopost Adam Mchomvi kwenye wall yake kikamuharibia siku nihiki hapa!!

BAADA YA KUANDIKWA MATUSI KATIKA WALL YAKE YA FACEBOOK NA KUTUKANWA KWA KILA ALICHOPOST, AKAANDIKA HIKI HAPA:-

Baadaya kutupiahiiwatu walitukana sana mpaka dakika za mwisho alifuta Post zotezenye kumtukana.

Kutokana naMadai hayo hapo juu kuwa hahusiki na chochote, watu wengi wamekuwa wakiuliza na nani kahusika kumharibia jina na huenda kuharibu mahusiano mazuri waliyokuwa nayo kati ya yeye na Lady JD pamoja na Gadna...!!

Ushauri wangu naomba tuwe makininavitu tunavyo post na kushare ktk wall zetu za facebook na tuwe tunazitembelea mala kwa mala kuona kuna nini kipya.

Poleni kwa waliotatizwa na hili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...