Jan 28, 2013

LULU AACHIWA KWA DHAMANA...

Lulu Michael


Kwa taarifa tulizozipata ni kuwa, 
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo asubuhi imemuachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu, anayetuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Steven Kanumba ˜The Great” baada ya kupitia vifungu vya sheria.Hatua hiyo inakuja baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kubadilisha mashitaka ya mwanadada huyo kutoka kesi ya mauaji hadi kuua bila kukusudia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...