Nov 13, 2012

MARIAM KHAMIS MUIMBAJI WA TAARAB AFARIKI DUNIA...


Mwimbaji Taarab MARIAM KHAMIS wakwanza kushoto katika picha amefariki dunia wakati wa kujifungua hospitali ya Muhimbili lakini mtoto kabaki mzima, Mariam ni staa wa nyimbo mbalimbali kama 'Paka Mapepe, Uzushi wenu haunitii doa na sidhuriki na lawama' na alifanya kazi na Znz modern Taarab, Five staa na baadae kuhamia TOT ambako ndipo alipokua akifanyia kazi mpaka umauti unamkuta. R.I.P Mariam


1 comment:

  1. RIP..Mariam Khamis..akika sote ni wa Mwenyezi na kwake tutarejea siku zetu zitakapo wadi. Mwenyezi aupoke ujio wako kwa wema..Amen

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...