Oct 2, 2012

Meli mpya ya Bakhresa/Azam SeaLink 1

Shida ya usafiri itapungua kwa asilimia kubwa kutokana na meli hii kuwa na Urefu wa mita 100, uwezo wa kubeba abiria 1500, Mizigo tani 500 na magari 200 ambapo abiria atakae jisikia kwenda na gari lake Zanzibar, Pemba au Dar es Salaam ataweza kufanya hivyo. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...