Jul 18, 2012

BOTI LA SKAGIT NI MITUMBA KUTOKA MAREKANI.

Maboti ya Kalama na Skagit

Mtandao wa “The Seattle Times” umeandika kwamba, maboti mawili ya Kalama and the Skagit yaliuzwa Tanzania baada ya kustaafishwa kazi Marekani kwa miaka miwili.

Maboti hayo yalitengenezwa mwaka 1989 na ilipofika hatua ya kuyauza mnunuzi alikosekana kabisa, baadaya kushindwa kuyauza katika mtandao wa eBay akapatikana broker mmoja ambaye aliweza kuyapatia soko nchini kwetu (Tanzania).

Je!, ustaafu wa mitumba hii inaweza ikawa chanzo cha ajali hizi!?

Chanzo: The Seattle Times

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...