May 24, 2012

Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!


Mashitaka yenyewe yalikuwa:
1)   Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)   Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)   Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)   Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)   Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...