May 28, 2013

Msanii Albert Mangwer Amefariki dunia

Albert Mangwer enzi za Uhai wake.
Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala.
Mungu akupumzishe kwa amani,
tutakukumbuka daima!

Cowboy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...