Jul 24, 2012

Video ya Temba na Bi Cheka - Mario


Video ya Mh. Tembe akimshirikisha Bi Cheka.
Nyimbo inaitwa: Marioo
Imetengenezwa: Poteza Records
Producer: Sulesh
Apex Videoz | Directed by Pablo.

Mchungulie Temba akiwa amejiachia mbaya na Bi Cheka, full bata yaani, Bi Cheka angekuwa binti tungesema mengine kwa Temba! lakini sasa tunyamaze tu tukifurahia video!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...