Apr 1, 2012

Karibu katika blog ya Passion FM!

Blog hii ni kwa ajili ya kukuelimisha, kukuburudisha na kukujulisha yanayoendelea hapa nchini na duniani kwa ujumla wewe msomaji na msikilizaji wa Passion FM.

Karibu sana tuwe pamoja.

Pia unaweza kuchangia ni kitu gani kifanyike ili kuboresha Blog hii ya Passion FM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...