![]() |
| Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini leo uwanja wa Taifa jijini Dar. |
![]() | ||||||
| Rais Kikwete akiteta na Eric Shigongo mwandaaji wa Tamasha la Matumaini. |
![]() |
| Rais JK akiongea na kadamnasi |
![]() |
| Timu ya Wabunge wapenzi wa Yanga. |
![]() |
| Timu ya Wabunge wapenzi wa Simba. |
![]() |
| Wekundu wakiingia Uwanjani. |
![]() |
| Yanga hao wakiingia Uwanjani. |
![]() |
| Ngumi zikipigwa kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper. Hakuna aliyeshinde, walitoka makonde 10 - 10 |
![]() |
| Mbunge Ester Bulaya akiikataa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Mshindi hakupatikana, droo ya Makonde 5 - 5. |
![]() |
| Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa. |
![]() |
| Keptaini wa Bongo Fleva H. Baba akiongoza mashambulizi. |
![]() |
| Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni Abdul Kiba. |
![]() |
| Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H - Baba baada ya ushindi wa Penati 2 - 0. |













No comments:
Post a Comment