Passion FM

ROKIM GRAPHICS

Pages

  • Home
  • Sikiliza Passion FM
  • Swaga Magazine
  • Albam
  • Kalenda za Passion FM

Jun 27, 2012

Dr. Steven Ulimboka atekwa, apigwa na kuumizwa vibaya.

Dr. Steven Ulimboka

Hali ya Dr.Ulimboka yuko unconscious,multiple ribs fracture na kwenye mikono pia amevunjika pamoja na taya,yuko icu wanamstabilise kwanza kwasababu hapumui vizuri,the situation here is really bad,I agree with you this is outright outrageous’ (Ujumbe ameutuma Daktari yupo pale MOI kwenda kwa Mh. Zitto!).

Alikamatwa jana usiku mnamo saa sita na watu wasiojulikana na kupelekwa katika msitu wa MagwePande na kujeruhiwa vibaya. Habari hizi bado hazijathibitishwa na vyanzo huru lakini ndio zilizopo hadi hivi sasa. Habari hizo zinasema ameokotwa na watu wa legal and human rights saa 3 asbh akapelekwa Moi hali yake ni mbaya sana!
Posted by Passion FM at 2:36:00 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Kuhusu Passion FM

My photo
Passion FM
The best Radio station in Tanzania for News and Entertainment
View my complete profile

SAA

Dar es Salaam

Visitors Counter

vpn | diseƱo de web

Habari zilizopita

Zilizopendwa zaidi

  • MADHARA YA KUPIGA PUNYETO /JE WAJUA UNAWEZA PATA CANCER??
    Kujichua au kujichezea (kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru ku...
  • Baadhi ya Watangazaji wa Passion FM.
    Annuary Sanga na Anneth Nyoni wakiwa katika Pose ndani ya Studio za Passion FM. Dj Fax na Hancy Vipaji wakipagawishe katika kipindi c...
  • Adam Mchomvu apost picha za uchi za msanii Lady JD, watu wamshambulia...
    Alichopost Adam Mchomvi kwenye wall yake kikamuharibia siku nihiki hapa!! BAADA YA KUANDIKWA MATUSI KATIKA WALL YAKE YA FACEBOOK NA K...

TAFUTA KILICHOMO

JIUNGE NASI

eXTReMe Tracker
Created by: ROKIM. Powered by Blogger.