Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini leo uwanja wa Taifa jijini Dar. |
Rais Kikwete akiteta na Eric Shigongo mwandaaji wa Tamasha la Matumaini. |
Rais JK akiongea na kadamnasi |
Timu ya Wabunge wapenzi wa Yanga. |
Timu ya Wabunge wapenzi wa Simba. |
Wekundu wakiingia Uwanjani. |
Yanga hao wakiingia Uwanjani. |
Ngumi zikipigwa kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper. Hakuna aliyeshinde, walitoka makonde 10 - 10 |
Mbunge Ester Bulaya akiikataa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto). Mshindi hakupatikana, droo ya Makonde 5 - 5. |
Bongo Movie kushoto na Bongo Flava kulia wakiiimba wimbo wa taifa. |
Keptaini wa Bongo Fleva H. Baba akiongoza mashambulizi. |
Godi Muhokozi wa timu ya Bongo flava akishangilia goli alilolifunga katika kipindi cha kwanza. Pembeni yake ni Abdul Kiba. |
Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Bongo Flava msanii H - Baba baada ya ushindi wa Penati 2 - 0. |
No comments:
Post a Comment